Psalms 18:4-5


4 aKamba za mauti zilinizunguka,
mafuriko ya maangamizi yalinilemea.

5 bKamba za kuzimu zilinizunguka,
mitego ya mauti ilinikabili.
Copyright information for SwhKC